wakisure
Member
- Dec 10, 2015
- 44
- 9
Hatimaye sasa ubora wa elimu na ufaulu umeanza kuzingatiwa katika kusomea vyuo vikuu nchini.
Masomo ya science yalipoteza heshima yake kabisa, mikopo iligawanywa kiholela holela tu.
Sasa wimbi la walimu wa science litaanza kuongezeka kwa kasi, kwa maana hao tu ndo watapata mikopo kwa asilimia 100 vyuoni kwa upande wa kusomea ualimu.
Engineering karibia zote mkopo ni 100 saiz.
Bila kusahau watu wa afya, Medicine na pharmacy.
Miaka ya nyuma hata ukisoma arts subjects advance level in secondary schools ulipendelewa kwa kupewa uwezo kusoma IT na COMPUTER SCIENCE, zama hizo hazipo tena.
Bila physics na adv. Mathematics kuonekana katika combination yako....sahau kabisa hizi courses.
Mwaka huu kwa wale finnest tu ndo watakaoweza kwenda kujiunga na vyuo vikuu kwan hata namba ya kudahili wanafunzi imepungua...
Diploma bila kuwa na GPA ya 3.5 and above sahau bachelor degree
Form six leaver bila ya kuwa na 4 point kwenye matokeo yako sahau university.
Nacte wakifungua tena udahili, bila kinyongo we lipia ada yao uapply diploma basi ndo kilichobakia.
Vijana wataanza kusoma saiz huko mashuleni na kwenye college hizo maana walijisahau sana.
Ahsante mama Ndalichako.