Nakapanya JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 2,096 Reaction score 709 May 23, 2013 #1 Wadau mimi ni mpenzi sana wa vyombo mbalimbali vya ala za muziki kama vile piano,gitaa na drums,ila napenda sana piano. Napenda kujifunza kupiga piano,je kwa hapa bongo/Dsm kuna sehemu/college wanapofundisha hiyo piano? Naomba msaada wenu tafadhali
Wadau mimi ni mpenzi sana wa vyombo mbalimbali vya ala za muziki kama vile piano,gitaa na drums,ila napenda sana piano. Napenda kujifunza kupiga piano,je kwa hapa bongo/Dsm kuna sehemu/college wanapofundisha hiyo piano? Naomba msaada wenu tafadhali