Huna akili.O level ins ugumu gani ?Kwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four, walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mitihani. Hivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu.
Mimi naona bora ingekua kama elimu ya high education, unatahiniwa kwa mada husika na muda husika ...so unalimbikiza miaka yote hiyo alafu mtu ujitutumue kwa masaa matatu...au nyie mna mawazo gani kuhusu hili?
Kweli acha tu wasosome ila wasomeMtoa hoja ni KIAZI kweli. Anwakatisha tamaa watoto wasosome. Jaribu Bhangi