Elimu ya O-level ni ngumu sana..

Elimu ya O-level ni ngumu sana..

akhilly

Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
43
Reaction score
34
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four, walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mitihani. Hivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu.

Mimi naona bora ingekua kama elimu ya high education, unatahiniwa kwa mada husika na muda husika ...so unalimbikiza miaka yote hiyo alafu mtu ujitutumue kwa masaa matatu...au nyie mna mawazo gani kuhusu hili?
 
No pain no gain...lazima uumize kichwa ili uwe na uwezo wa kusolve hata matatizo ya kimaisha
 
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four,walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mithiani. Ivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu. Mi naona bora ingekua kama elimu ya high education, unatahiniwa kwa mada husika na muda husika ...so unalimbikiza miaka yote hio afu mtu ujitutumue kwa masaa matatu...au nyie mna mawazo gani kuhusu

Ww nae unatuvuruga tu.wenyewe hampo siriaz .kama unaiona o lvl ngumu bc ujiandae
 
Mkuu...kupasua o level ni mikakati yako madhubti..unapasua...mi form 1.2.3.nilikimbia class..ila form 4 mikakati yangu ilikuwa vzur saiv nalaa bata form 5..mpka 2019 Tukijaliwa naenda kukinukisha tena
 
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wanafunzi wa form four,walio kwenye mithiani na wanaoemdelea mithiani. Ivi jamani elimu ya miaka minne unapimwa kwa masaa matatu!!! Kweli elimu hii ni ngumu. Mi naona bora ingekua kama elimu ya high education, unatahiniwa kwa mada husika na muda husika ...so unalimbikiza miaka yote hio afu mtu ujitutumue kwa masaa matatu...au nyie mna mawazo gani kuhusu hili?
Poti ulipoga ( cos 90 ) o -level nini maana aisifiaye mvua imemnyea
 
Mkuu...kupasua o level ni mikakati yako madhubti..unapasua...mi form 1.2.3.nilikimbia class..ila form 4 mikakati yangu ilikuwa vzur saiv nalaa bata form 5..mpka 2019 Tukijaliwa naenda kukinukisha tena
we funguka tu matatizo yaliyokufanya usiende form viiii upewe ata ushauri sio kusema batabata bata gani unakula wewe. huna wazazi wa kukuambia uende shule??? mda mwingine tuwege wawazi tu
 
O level sio ngumu ila wengi wetu hua hatujajitambua.

Kwa experience yangu naona Advance ni ngumu kwa sababu muda ni mfupi na mambo ni mengi mno.

Alafu kibaya zaidi kwa shule za serikali walimu wanazingua sana Advance, wapo ila kufundisha hawataki na wakifundisha wanaangalia vitu simple ndo wanavifundisha, vile vigumu wanaacha ili uteseke kuvisoma tuition kwa pesa yako mwenyewe
 
we funguka tu matatizo yaliyokufanya usiende form viiii upewe ata ushauri sio kusema batabata bata gani unakula wewe. huna wazazi wa kukuambia uende shule??? mda mwingine tuwege wawazi tu
Mkuu..utaka evidence gan nikuoneshe ili uamini kama nilipasua...maana nimesema kwa maneno una piga kmaa ww ndo uliyesahihisha mitihan yangu......tena nilipo sema kula bata sijamaanisha kama ulivyo fikiria ww mkuu..nimemanisha ivi saiv sipigi kazi sana kama ya f4 maana nilichoka sna...
 
O level sio ngumu ila wengi wetu hua hatujajitambua.

Kwa experience yangu naona Advance ni ngumu kwa sababu muda ni mfupi na mambo ni mengi mno.

Alafu kibaya zaidi kwa shule za serikali walimu wanazingua sana Advance, wapo ila kufundisha hawataki na wakifundisha wanaangalia vitu simple ndo wanavifundisha, vile vigumu wanaacha ili uteseke kuvisoma tuition kwa pesa yako mwenyewe
Mkuu nipo na ww asilimia 200
 
Labda unafikiri kungekuwa na continuous accessment? Kama chuo?, nadhani bado sana mazingira hatujayaandaa pia na walimu.
 
Back
Top Bottom