Josue isam
New Member
- Nov 10, 2018
- 4
- 3
ELIMU YA NYUMBANI NA MALEZI
Miongoni mwa mambo ambayo yamesahaulika katika jamii zetu ni pamoja na elimu ya nyumbani na malezi. Elimu ya nyumbani ni elimu ambayo mafundisho na maelekezo yote anayoyapata mtoto yanatoka kwa mzazi au mlezi wa mtoto husika.
Ni katika kipindi hiki cha elimu ya nyumbani na malezi mtoto huandaliwa kuwa mtu fulani katika jamii taifa na ulimwenguni kwa ujumla ni katika kipindi hiki mtoto huandaliwa kukabiliana na changamoto za maisha.
Ikumbukwe katika nchi zilizoendelea elimu hii imepewa kipaumbele na watoto wameonekana kuwa bora hata kuliko wale waliopo shuleni. Hivyo basi wazazi na walezi na jamii kwa ujumla inabidi kuliangalia swala la elimu ya nyumbani na malezi kwa jicho la pili ili tuwe na kizazi kilicho bora na kizazi kinachojua namna ya kufikiri huku kikijua nini chakufikiri. Je nini maoni yako kuhusu hili??????
Mchango wako ni muhimu hebu tujadiliane nini kifanyike ili elimu hii irudishwe na kupewa kipaumbele......??? Karibu..