Aaron Athanas
Member
- Aug 8, 2013
- 13
- 6
Ivi ni kweli serikali imeamua kujitwisha kaulimbiu ya matokeo makubwa bila kuandaa mazingira ,vitendea kazi na kuwakwamua watenda kazi,,. sasa matokeo kubwa yanakuja vip kama hukujenga msingi? au ndiyo kulazimisha. ? maana hakuna sekta yenye mazingira mabovu kama elimu ya msingi,,zichunguzeni shule za msingi za serikali au ndiyo big worst results