robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
Hakuna nchi inaendelea dunian kwa kukurupuka
Kuzurula ipo sahihi
Kutakuwa na miaka 6 ya shule ya msingi.Pia kutoka darasa la kwanza hadi kidato cha 4 itaitwa "elimu msingi" hivyo watoto wataserereka kutoka darasa la kwanza mpaka kidato cha nne.nawashukuruni kwa michango ila bado sijapata uhakika wa km ni kweli tutakuwa na miaka 6 y elimu ya msingi..
Upuuzi mtupu,,, badala ya kubadilisha lugha ya kufundishia iwe kingereza,,,,mnahangaika na kubadilisha MITAALA YA MADARASA,,,, itasaidia nn
Utandawazi unatutaka mitaala yetu iendane na mabadiliko yanayotokea duniani. lugha yetu inakua kwa haraka.Tusahau kingereza.Upuuzi mtupu,,, badala ya kubadilisha lugha ya kufundishia iwe kingereza,,,,mnahangaika na kubadilisha MITAALA YA MADARASA,,,, itasaidia nn
Ungejuwa aibu tunazopata watanzania tunaoishi nje,,, usingesema hvyo... Kuhusu kingerezaUtandawazi unatutaka mitaala yetu iendane na mabadiliko yanayotokea duniani. lugha yetu inakua kwa haraka.Tusahau kingereza.
Uhakika ni darasa la 4 na la 3 wa mwaka huu 2018 wataishia darasa la sita. Hawa wanatumia mtaala mpya wa mwaka 2016 unaotaja darasa la III-VI.nawashukuruni kwa michango ila bado sijapata uhakika wa km ni kweli tutakuwa na miaka 6 y elimu ya msingi..
Sio mbili ni moja....Jana tu tulikua kujadili hili swala na jopo letunasikia na daftari ni Mbili tu watakuwa wanatumia
watakuwa wanasoma driving nnSio mbili ni moja....Jana tu tulikua kujadili hili swala na jopo letu
Jibu ni kweli mwisho darasa la 6 hiyo mbona ilishatangazwa tangu mwaka 2016 saiv walionza na huo mfumo wapo darasa LA tatunawashukuruni kwa michango ila bado sijapata uhakika wa km ni kweli tutakuwa na miaka 6 y elimu ya msingi..