ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,378
Habarini humu ndani na heri ya mwaka mpya. Ni muda sana sijazurula humu JF,
moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Iko hivi nimepata taarifa kuwa elimu ya msingi imekuwa ni miaka 6 kuanzia wanafunzi walioko darasa la 3 mwaka huu. Pia waliopo darasa la nne mwaka huu wao watamalizia miaka 7.
Swali; Je! Ni kweli imeshapangwa hivyo au nilikuwa napotezwa? Kama wameshapanga hivyo ina maana mitaala ya elimu ipo mbioni kubadilishwa au? Je ule mtihani wa darasa la nne wataufanya wakiwa darasa gani au ndo hilohilo?.
Ni hayo tu nisiwachoshe!.