choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
Kweli aisee hata makanisani huwa wanawasha sijaelewa maana yakeHabarini za jioni wadau wa jf. Polen na msiba mzito uliolikumba taifa letu kwa kupotelewa na vijana wetu takriban 35. Kwa hakika taifa limepoteza nguvu kaz kubwa mno. Baada ya ule msiba nimepita kwenye social networks nying sana wanatoa pole which is gud thing, ila kuna jambo sijalielewa. Nalo ni kuhusiana na mishumaa km alama ya maombolezo. Hii ni fashion au ni nini? Maana nataman kufanya ila nahis naeza kujikuta naburuzwa maana cjui maana yake. So naomba mwenye uelewa anijuze tafadhal.
Kifo ni Giza.mshumaa ni mwanga.Mwanga wa milele uwaangazie ee bwaaHata mie kweli nmeshindwa kuelewa maana halisi ya kufanya vile na siwezi kufanya kitu kama sielewi maana yake hivyo nmebaki nawatazama tuu.
Kifo ni Giza.mshumaa ni mwanga.Mwanga wa milele uwaangazie ee bwaa
Swali zuri sanaSo km ishu ni mwanga kwanini zisiwashwe taa kabisa zenye mwanga mkubwa.
taa kubwa zina mwanga mkali
Vp kuhusu birthday nayo n giza?? Maana napo mishumaa huwashwa sn tu!!Kifo ni Giza.mshumaa ni mwanga.Mwanga wa milele uwaangazie ee bwaa
Vp kuhusu birthday nayo n giza?? Maana napo mishumaa huwashwa sn tu!!