Elimu ya miaka hii ni changamoto

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
4,718
Reaction score
6,905
Elimu ya miaka hii ni changamoto kwa vijana wetu, nna dogo yupo Darasa la nne ,heti madaftari kaunta Quare 2 yanatakiwa kumi na nne(14), dogo wenyewe kana umri wa miaka Tisa tu....
Umri huu na iyo mizigo mpka amalize Darasa la Saba si atakuwa na kibiyonngo? maana hapo bado chupa ya maji,contena ya chakula.aisee

wanakisoma nini midaftari yote iyo!!!! kweli kuna atalaloshika kichwani kwa idadi iyo ya masomo?

Just nimewaza tu Wala silaumu,maana kuna wathenge watakuja wataanza kuongea upuuzi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…