Guest Speaker? Duh! Nadhan siku hiyo mlijutia muda wenu mliopoteza kumsikiliza!Kiukweli jamaa yuko mtupu kichwani hata hiyo shahada ya kwanza ya ualimu aloipata hajaweza kuitendea haki kwani speech zake hata mtoto aloishia darasa la tatu nadhani anamshinda. Nakumbuka kuna siku alikuja pale Udsm kudeliver speech kama guest speaker kila mtu alishangaa coz jamaa hawezi kujenga wala kudevelop hoja. Alafu anapenda kujisifu sana.
hahahahaaa! Mkuu umeua, i wish hii comment yako angeisoma mwenyewe!Jaman tusishangae kuja kuona "BIBLE ZA NYAMBARI" maana jamaa kwa kufupsha mambo utakuta Bible ina ukubwa kama daftari za shilingi 100
sasa inakuwaje anakabidhiwa dhamana ya uongozi??hivi tufanye nini ili tupate viongozi wanaofaa?
inakuaje awe na degree ya kiswahili halafu aandike vitabu vya biology, chemia na physcs? Mimi nazani elimu yetu inapo elekea sipo, tunatengeneza vibarua wa wazungu. Nasikia huko tarime ndo kagawa vitabu vyake shule zote za kata wilayani tarime na hata matokeo ya mwaka huu tarime ni moja ya wilaya zilizo toa o nyingi sana sababu ya vitabu vya huyu jamaa
huyu jamaa hamna asicho weza.
sitetei, ila kwa kawaida watu uwa tunapenda zaid kuangalia mabaya ya m2 ili ama kumchafua ama vinginevyo hasa mhusika anapokua hai. Logically mtu hawez kupita level zote hizo za elimu kwa kuiba mtihani. Mimi nasema si kweli, labda ninyi.Huyu jamaa nilisoma naye Mara sec school alikuwa rafiki yangu wa karibu sana ingawa baada ya kumaliza o level yeye alienda shule nyingine na mimi kwenda shule nyingine lakini tuliendelea kuwasiliana na kuwa karibu. O level halikuwa hana uwezo kabisa alichukua masomo ya Art. Lakini alikuwa mwizi mkubwa sana wa mitihani mpaka alituletea matatizo makubwa sana kipindi hicho kwa ajili ya wizi( waliosoma mara sec school 1992-1995 watakumbuka), baada ya hapo alienda Mkwawa aliendeleza ishu yake ya wizi wa mitihani, UDSM nasikia aliendeleza ishu ya kuiba mitihani. UDSM alikuwa anasoma kiswahili.
Plawala usiombe kumsikiliza huyu bwana atakuharibia siku yako kabisa, jana mimi kaniharibia siku baada ya kumsikiliza akichangia hoja bungeni, jamaa ni mtupu kabisaNgoja tupunguze posho zisizo na tija bungeni,watu wataacha kukimbilia bungeni kama sehemu ya neemaJamani sijafanikiwakumwona akiongea,ninachojua kuna vitabu vingi sana vyenye chapa yake nyambari nyangwine publishers
Bunge la Tanzania cv yake ni ujuwe kusoma na kuandika basi, hata kama umeishia darasa la tatu.
Kuna akina 'prof ' Maji marefu humo pia,huyo ana afadhali.
vipi ana deliver the goods?hili ndiyo swali muhimu,manake kujua/kutokujua kuzungumza Kiswahili sanifu siyo inshu.Anaweza asiwe muongeaji mzuri jukwaani lakini akawa mchapakazi/analeta maendeleo jimboni.Tuache ujinga na kudhani wanaojua kujenga hoja vizuri majukwaani ndiyo vichwa.Tuangalie vitendo/uchapakazi,siyo porojo za majukwaani.