N NIBOO Senior Member Joined Oct 11, 2024 Posts 124 Reaction score 269 Jul 2, 2026 #1 Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
Idimulwa Platinum Member Joined May 27, 2011 Posts 6,150 Reaction score 5,019 Jul 2, 2026 #2 Kisarawe.kwa D.C Magoti mwenye kizabazabina na kiherehere.....!
I feel good JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 1,689 Reaction score 2,958 Jul 2, 2026 #3 NIBOO said: Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada. Click to expand... Ipo.. Mwone steve mweusi
NIBOO said: Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada. Click to expand... Ipo.. Mwone steve mweusi
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,427 Jul 2, 2026 #4 NIBOO said: Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada. Click to expand... nenda TAMISEMI kuna maelekezo yote
NIBOO said: Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada. Click to expand... nenda TAMISEMI kuna maelekezo yote
N NIBOO Senior Member Joined Oct 11, 2024 Posts 124 Reaction score 269 Jul 2, 2026 Thread starter #5 I feel good said: Ipo.. Mwone steve mweusi Click to expand... Jitathimini 🚮
N NIBOO Senior Member Joined Oct 11, 2024 Posts 124 Reaction score 269 Jul 2, 2026 Thread starter #6 Joseverest said: nenda TAMISEMI kuna maelekezo yote Click to expand... Shukrani mkuu
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,797 Reaction score 60,636 Jul 2, 2026 #7 ipo elimu ya watu wazima kila wilaya
Mwafrikamtanzania JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,064 Reaction score 1,347 Jul 2, 2026 #8 NIBOO said: Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada. Click to expand... Umri wake? Maana MEMKWA inadahili kuanzia umri wa miaka 9-17. MEMKWA inapatikana Wilaya zote, anzia Kwa Afisa Elimu Kata iliyopo atakupa msaada.
NIBOO said: Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada. Click to expand... Umri wake? Maana MEMKWA inadahili kuanzia umri wa miaka 9-17. MEMKWA inapatikana Wilaya zote, anzia Kwa Afisa Elimu Kata iliyopo atakupa msaada.
N NIBOO Senior Member Joined Oct 11, 2024 Posts 124 Reaction score 269 Jul 2, 2026 Thread starter #9 Mwafrikamtanzania said: Umri wake? Maana MEMKWA inadahili kuanzia umri wa miaka 9-17. MEMKWA inapatikana Wilaya zote, anzia Kwa Afisa Elimu Kata iliyopo atakupa msaada. Click to expand... Miaka 11
Mwafrikamtanzania said: Umri wake? Maana MEMKWA inadahili kuanzia umri wa miaka 9-17. MEMKWA inapatikana Wilaya zote, anzia Kwa Afisa Elimu Kata iliyopo atakupa msaada. Click to expand... Miaka 11
Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,379 Reaction score 3,698 Jul 4, 2026 #10 Kuna QT pia