mara nyingi huyu katibu mkuu wa ccm amekuwa akiongea pumba sana katika matamshi yake.mpaka juzi tu amewaita wehu baadhi ya washiriki ktk kongamano la taasisi ya mwalimu nyerere. Sasa nimekuwa ninashuku kuhusu kiwango cha elimu alichokuwa nacho huyu bwana? Yeyota mwenye data kuhusu elimu ya makamba amwage...
Alisomeshwa na wakoloni kule makerere.than oxford Uk .na alimalizia Harvad .π
.Mara nyingi huyu katibu mkuu wa ccm amekuwa akiongea pumba sana katika matamshi yake.Mpaka juzi tu amewaita wehu baadhi ya washiriki ktk kongamano la Taasisi ya mwalimu Nyerere. Sasa nimekuwa ninashuku kuhusu kiwango cha elimu alichokuwa nacho huyu bwana? Yeyota mwenye data kuhusu elimu ya makamba amwage...
Luteni Yusuph Makamba! naskia alikuwa kikosi cha mizinga sasa ile mingurumo na milipuko ya mizinga ilifyatuaga baadhi ya fyuzi kichwani ndo mana hung'aka na kufyatuka namna ile! Kile kideo jamani sasa kama CCM wanamuandama Zitto namna ile si afadhali nasi tuwe na cha kuongelea ndani ya CCM. Leo hii mzee mzima JK nae ameng'aka patamu hapo yetu macho!Mara nyingi huyu katibu mkuu wa ccm amekuwa akiongea pumba sana katika matamshi yake.Mpaka juzi tu amewaita wehu baadhi ya washiriki ktk kongamano la Taasisi ya mwalimu Nyerere. Sasa nimekuwa ninashuku kuhusu kiwango cha elimu alichokuwa nacho huyu bwana? Yeyota mwenye data kuhusu elimu ya makamba amwage...
Luteni Yusuph Makamba! naskia alikuwa kikosi cha mizinga sasa ile mingurumo na milipuko ya mizinga ilifyatuaga baadhi ya fyuzi kichwani ndo mana hung'aka na kufyatuka namna ile! Kile kideo jamani sasa kama CCM wanamuandama Zitto namna ile si afadhali nasi tuwe na cha kuongelea ndani ya CCM. Leo hii mzee mzima JK nae ameng'aka patamu hapo yetu macho!
Kwahiyo elimu yake ni kulipua mizinga?Luteni Yusuph Makamba! naskia alikuwa kikosi cha mizinga sasa ile mingurumo na milipuko ya mizinga ilifyatuaga baadhi ya fyuzi kichwani ndo mana hung'aka na kufyatuka namna ile! Kile kideo jamani sasa kama CCM wanamuandama Zitto namna ile si afadhali nasi tuwe na cha kuongelea ndani ya CCM. Leo hii mzee mzima JK nae ameng'aka patamu hapo yetu macho!
Kama ulikuwepo mzee mzima sasa analipua chama cha Majambazi!Kwahiyo elimu yake ni kulipua mizinga?
Mara nyingi huyu katibu mkuu wa ccm amekuwa akiongea pumba sana katika matamshi yake.Mpaka juzi tu amewaita wehu baadhi ya washiriki ktk kongamano la Taasisi ya mwalimu Nyerere. Sasa nimekuwa ninashuku kuhusu kiwango cha elimu alichokuwa nacho huyu bwana? Yeyota mwenye data kuhusu elimu ya makamba amwage...
Makamba..
1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O level

9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O l