Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,888
- 831,220
- Thread starter
- #661
Energy accumulation sio lazima kufanya hivyo bali ni favorable posture kwa ajili ya meditationSamahani unaweza kunielewesha kuhusu hivyo vidole kuvikunja hivyo ana maana gani??... na je ni lazma kwenye meditation kufanya hivyo..?...
wana vidole viwili tu. Watu wa Vadoma pia wanajulikana kama kabila la Bantwana maana yake "wazao" ni kabila linaloishi kaskazini mwa Zimbabwe, kwa ujumla katika wilaya za Sipolilo na Urungwe za bonde la mto Zambezi. Lugha yao kuu ni lugha ya Dema. Kabila hili ni maarufu kwa hali ya miguu yao, ambapo vidole vitatu vya kati havipo na vile viwili vya nje vimegeuzwa na kusababisha kabila hilo kujulikana kwa jina la "miguu miwili" au "miguu ya mbuni". 