Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 810
- 877
Duh! Kwa bahati mbaya simjui huyo Tundu Lissu ndugu.Nakubaliana na kauli ya "Mwafrika ni kima aliyechangamka". Na yule kaburu Peter Botha alikuwa sahihi aliposema Waafrika hatuwezi kujitawala wenyewe.
Anayofanyiwa Tundu Lissu (na mifano mingine mingi) yanathibitisha hilo. Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtendea mtu vile? Kuweka mashahidi kwenye kibanda cha njiwa ni sawa? Blacks are really half-humans.
Basi sawa.Duh! Kwa bahati mbaya simjui huyo Tundu Lissu ndugu.
" Africans are not fully developed humans,give them weapons and they will kill each other like animals"โTumesoma historia tukafundishwa kuwa asili yetu ni sokwe, na hata katika mitihani unatakiwa kukiri simulizi hilo bila kuhoji. Kwa mwelekeo huo wa kufikiri usioacha nafasi ya tafakuri huru, ungetarajia kweli kupata mvumbuzi au mgunduzi? Badala yake tunazalisha vijana wanaoamini uzungu ni kipimo cha akili na uafrika ni alama ya upungufu.
Elimu ya aina hiyo imelea jamii inayokubali kila kinacholetwa bila kuchambua, jamii inayofuata mkumbo bila utashi. Matokeo yake, wengi hujenga fikra zinazofanana; na yeyote anapothubutu kufikiri tofauti huambiwa: โKama mzungu ameshindwa, wewe utaweza wapi?โ Hapo ndipo tunapopaswa kujiuliza tatizo ni uwezo wetu, au namna tulivyofundishwa kuutazama uwezo huo?โ
โ Alloyce, P.R.
View attachment 3545461
Wewe ni mzungu?Basi sawa.
Ila ukiangalia tu jinsi Viongozi wa Africa wanavyofuja mali na raslimali za umma ukilinganisha na wenzao Wazungu, utaamini Mwafrika ni nyani.
Weapons are manufactured primarily for protection, hunting, and warfare, serving as tools to gain a physical, tactical, or strategic advantage over adversaries. Historically, they evolved to increase safety when dealing with threats, while modern development focuses on national security, deterring aggression, and maintaining, or shifting, power dynamics." Africans are not fully developed humans,give them weapons and they will kill each other like animals"
NIlipinga,ila kilichotokea!
Kwani wao Waafrika walikatazwa kupeleka dini yao Ulaya Uarabuni? Kama walijaribu na kushindwa huo ndo unyani wenyewe. Maana nyani hana uwezo mbele binadamu.Wewe ni mzungu?
Kwani walioanza kunyonya bara la Afrika walikuwa wazungu au Waafrika?
Ambao wameleta dini za kusababisha umaskini uliokithiri kwa kigezo cha toa ndugu, walikuwa ni waafrika au wazungu?
Dhana ya kikundi cha watu fulani kufanya uovu sio la kuwavisha watu wote. Jinsi unavyosema waafrika ni nyani hapo inamaanisha na babu zako pia ni nyani na ndio wakakupata wewe nyani. Pole.
Sawa nyani.Kwani wao Waafrika walikatazwa kupeleka dini yao Ulaya Uarabuni? Kama walijaribu na kushindwa huo ndo unyani wenyewe. Maana nyani hana uwezo mbele binadamu.
Adolf Hitler, a European, aliongoza vita iliyoua wat million 6 kikatili, ikiwemo kufungia watu ndani ya vyumba vya sumu.Nakubaliana na kauli ya "Mwafrika ni kima aliyechangamka". Na yule kaburu Peter Botha alikuwa sahihi aliposema Waafrika hatuwezi kujitawala wenyewe.
Anayofanyiwa Tundu Lissu (na mifano mingine mingi) yanathibitisha hilo. Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtendea mtu vile? Kuweka mashahidi kwenye kibanda cha njiwa ni sawa? Blacks are really half-humans.
They'll kill each other like animals? Kama walivyanya Europeans kwenye vita vya 1-2 vya dunia? Au kama wanavyofanya Urusi na Ukraine, USA na Arabians, na Israel na Palestinians?" Africans are not fully developed humans,give them weapons and they will kill each other like animals"
NIlipinga,ila kilichotokea!
hii komenti itakuletea matatizo wakiiona, inaonekana bado hawajafika hukuDuh! Kwa bahati mbaya simjui huyo Tundu Lissu ndugu.
Umetoa ufafanuzi mzuri sana.๐๐๐๐๐Adolf Hitler, a European, aliongoza vita iliyoua wat million 6 kikatili, ikiwemo kufungia watu ndani ya vyumba vya sumu.
Europeans wameiba mabara ya Americas kinguvu na kuua asilimia 90 ya wakazi wake, kwa kuwawinda kama wanyama, kuwageuza watumwa na kwa magonjwa yao.
Europeans walikuja Africa, wakagombanisha mababu zetu na kuwachukua watumwa, wakawafanyisha kazi ngumu na kuchukua matunda ya nguvu zao ndani ya ardhi yao wenyewe na vilevile wakawauza na kuwasafirisha kwao kama wanyama, ambako waliwazidishia mateso.
Wajapani walibaka, waliua, walitesa na kutawala waasia wenzao kinguvu bila ya huruma. Kuna video zinaonyesha picha wakikata wenzao kutoka nchi jirani vichwa na kuchoma watoto wachanga na majambia kwa kuwarusha juu na kuwachomeka kama nguruwe.
Je hayo matendo ya hizo races mbili ni ya watu wenye akili timamu au binadamu kamili mbele yako? Kwa ulichokisema bila shaka ni hapana.
Lakini bado unadiriki kujiita "kima aliyechangamka" msemo ambao bila shaka ni zao la watu hao waliotekeleza matendo ya kinyama zaidi kwenye historia ya dunia. Nikikuangalia wewe binafsi, huo msemo unakulenga kwa asilimia 100. Natumaini uzao wenu upo ukingoni barani hapa.
Watu wanaojidharau bila kufikiria wananisikitisha sana.
Sasa si nimesema tu ukweli ndugu kuwa simjui. Au watanililazimisha nimjue kila mtu.๐๐๐hii komenti itakuletea matatizo wakiiona, inaonekana bado hawajafika huku
Maelezo mazuri sana๐๐๐๐Kuhusu binadamu kuwa na asili ya sokwe au katokana na sokwe, sio kweli kabisa. Hapo naona umechanganya mafaili.
Bali binadamu wote wa leo ikiwemo Waafrika, Waeuropeans na Waasia pamoja na sokwe. Wame-evolve from a common ancestor ambaye hakuwa sokwe wala binadamu, aliyeishi miaka million 30 iliyopita. Then descendants wa huyo ancestor wakaevolve tofauti ndani ya mamilion ya miaka kuelekea kuwa binadamu na sokwe. Hao binadamu waliendelea kuevolve mpaka kufikia modern humans na wale sokwe walifanya vivo hivyo mpaka kufikia kuwa sokwe wa leo.
Kiufupi: Binadamu alitakiwa kuwa binadamu na sokwe alitakiwa kuwa sokwe.
Kwa maana hiyo binafamu hawezi kuwa na asili ya sokwe. Ni misconception ambayo walimu wenyewe wameshindwa kuielezea vizuri. Matokeo yake unapata maswali kama "kwanini sokwe wa leo hawageuki kuwa binadamu?" Jibu ni hawawezi kuwa binadamu sababu wao ni sokwe na evolution yao imeishia hapo, kama vile binadamu asivyoweza kuwa sokwe.
A sensible question based on misconception. Nailaumu ile picha ya kitabu cha darasa la nne au la tano nadhani.