Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Watu wengi wamekuwa wakiomba kujifunza namna ya ku-design electronics devices.
Tatizo ni kwamba wengi wamekuwa wakihitaji kujua kila kitu ndani ya muda mfupi.
Elimu ya muda mfupi naitoa kwa watu ambao tayari ni experties wa electronics ambao wanahitaji kujifunza design ya kitu flani tu.
Lakini kwa wale ambao hawana background au hawana experience ya kutosha katika practical ya designing wakubaliane na mimi kukaa katika kiti kwa muda mrefu kuweza ku-cupture enough experience in designing sababu designing is not acquired just for over-night!
the time is needed!
MFUMO WA UTOAJI WA ELIMU YA KU-DESIGN VIFAA VYA ELECTRONICS MWAKA HUU 2015
Kwanza ifahamike kuwa mimi sifundishi repair ya vitu vya electronics,ila nafundisha namna ya kubuni na kuunda vifaa vya ki-electronics kutokana na mahitaji ya jamii inayo tuzunguka.
Ubunifu huu unazingatia moja kwa moja namna ya kutatua matatizo yanayo ikabili jamii kwa njia ya ki-electronics.
Kwa wanafunzi wa vyuo vikuu,na vyuo vya ufundi walio somea electronics.
Hawa huanza na mafunzo ya designing mojakwamoja kwasababu tayari huwa na basic ya electronics.
Elimu hii itatolewa kwa miezi sita.
Kwa wale wasio na background ya elimu ya electronics
Hawa huhitaji mafunzo ya awali ya basic ya electronics kwa miezi sita,baada ya hapo wataanza kujifunza design ndogo ndogo,kwa muda wa miezi sita mingine.
Baada ya mwaka wataanza kujifunza designing za kibiashara ambazo wataweza kuanza kuziuza na kujipatia kipato!
ELIMU HII KWA WATU MAALUMU.
Kwa watu wenye mahitaji maalumu kama vile yatima na walemavu watapata mafunzo haya bure,tutakua tunapokea vijana wawili au zaidi kila mwaka kutegemeana na udhamini tutakao pata.
FAIDA YA MAFUNZO HAYA
-Mwanafunzi aliyeanza ku-design,atapata mgao wa fedha utakao patikana kupitia kifaa alichoshiriki kuki-design au kukiunda pale kitakapo uzwa.
Hivyo mwanafunzi ataanza kujipatia kipato cha ubunifu wake akiwa bado anasoma
-Wanafunzi walio anza ku-design wanaweza kuunda kikundi chao na kuanza kudesign vitu mbalimbali na kuvitafutia soko;chini ya msaada wetu.
-Watapata mafunzo ya ujasiliamari wa ki-electronics,yatakayo husu namna ya kufanya ubunifu wenye tija.
-Inamuandaa mwanafunzi kujiajiri.
TAMBUA
Hii shiyo shule ya ubunifu ila ni karakana ya ubunifu!
We transform the ideas into real things,we belive in practical!
Watu wote mnakaribishwa;Kituo cha mafunzo haya kipo Mzambarauni njia ya kwenda Gongolamboto.
Kwa mawasiliano piga 0657-115587.