Elimu ya ftc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya ftc

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kishoreda, Jul 23, 2011.

 1. kishoreda

  kishoreda Senior Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau naomba kuuliza hapo zamani nilisikia kulikuwa na elimu iliyokuwa inatolewa na vyuo vya ufundi vya serekali yaani Dar Tech,Arusha Tech na Mbeya Tech.Ila kwa sasa siisikii tena na katika kufuatilia nimeambiwa serekali imeifuta.Je kwanini serekali imefuta hii elimu na niliwahi kuambiwa ilikuwa inazalisha wataalamu wa ukweli wa ufundi?Naomba majibu kwa wenye data.
   
 2. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  imebadilishwa jina now days inaitwa ordinary diploma
   
 3. by default

  by default JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tangu walpoibadilisha jina imekuwa aina mvuto tena.
   
 4. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mvuto upi??...nadhani 'ungetueleza kama wamebadilisha syllabuss...kubadilisha jina hakuifanyi iwe mbaya...
   
 5. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Ok...kwahiyo imekaaje kwa walioipata, waka-update vyeti vyao visomeke Ordinary diploma au niaje?
   
 6. kishoreda

  kishoreda Senior Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Je imebadilishwa jina tu?Vp kuhusu mtaala na kiwango cha elimu pamoja na product ni sawa na ile ya FTC?Pia jina la Full Technician Certificate lilikuwa na tatizo gani mpaka wakaibatiza jina lingine Ordinary Diploma?Nahitaji ufafanuzi dada Lady N.
   
 7. J

  Jonas Mpango Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii hubadilisha mambo mara kwa mara. Sasa inaitwa diploma. Siku hizi hata Elimu ya Advanced Diploma haipo. Siku hizi hata diploma ina viwango vyake kulingana na Nacte.
   
 8. J

  Jonas Mpango Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia DIT website itakusaidia
   
 9. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hata mtaala pia umebadilika ila product zake sio nzuri kama ftc. nina ftc na nafanya kazi na wenye hizo OD wako shallow kiaina.
   
Loading...