Kiukweli chuo chetu ni miongoni mwa vyuo vichache (visivyozidi 3) vyenye program ya kujifunza lugha ya KICHINA. Sasa hawa walimu kutoka china pamoja na kufundisha lugha yao lakini pia wanafundisha KARETI hivyo miongoni mwa wanafunzi wanaosima lugha hiyo wapo baadhi wanaojifunza kareti pia.
Sasa sijajua kama katika vyuo vingine kama UDOM Wanaendesha mafunzo haya ya KARETI au la....