Elimu ya Bure kuhusu ZUKU

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,129
Channel mpya ambazo ni Free To Air zimeingia kwenye Satellite ya SES 5 ambayo zuku inatumia, channel hizo ni

Africa TV swahili
peace TV

Go to MENU-->DVBS -->SINGLE SATELLITE SEARCH,
then subir had imalize ku search then furahia channels hizo kwenye zuku
 
ungependa title iweje ya hiyo thread?


Mkuu ni bug hiyo!
Si mahala husika ! Ndo naona sahizi ulivyo ni quote kwenye PC!

Samahani sana

Endelea na kazi za kuijenga JF
 

du hii nayo inaitwa elimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…