amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Huyu jamaa nilikiwa najifikiria mbona anatukana hajui kujenga hoja na anaropoka tu? Nilikuwa na maswali mengi sana juu ya IQ yake. Nikafuatilia sana. Daaaaaaaaaaaaaahhhh kumbe elimu yake ni kichekesho. Mwacheni aropoke. Kule kwetu Manyovu mkoani Kigoma tunaiita Ngumbaro
Wakati Ukiendelea Kuicheka ELIMU Ya Bulembo Je Unaonaje Pia Kwa Moyo Huo Huo MKUNJUFU Ukituwekea Na Elimu Ya Babako Tuichambue Pia?
Wakati Ukiendelea Kuicheka ELIMU Ya Bulembo Je Unaonaje Pia Kwa Moyo Huo Huo MKUNJUFU Ukituwekea Na Elimu Ya Babako Tuichambue Pia?
Dada usibwate.. Nimezaliwa udsm na nimekulia Udsm mtaa unaitwa kilimahewa. Kaulizie Mabhoko udsm ni nani na anatoka mkoa gani ----- wewe. Familia yetu jumla kuna degree 9. Sio wewe wa uwanja wa fisi shangazi wewe
Hivi MTU wa elimu ya darasa la saba kuna haja ya kuweka CV?Jaribu kufafanua,anaelimu gani? kama itawezekana tuwekee cv yake maana kauli zake ni za ajabu sana !!!!!
Kama ya walimu wa UPE.Jaribu kufafanua,anaelimu gani? kama itawezekana tuwekee cv yake maana kauli zake ni za ajabu sana !!!!!
Hizo Degree Tisa Za KIFAMILIA Zinaweza Zote Zikawa Ni Za " UPUMBAVU, UPOPOMA Na ULOFA ".