Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi pata nitengenezea mazingira mazuri kutokana na ninachotaka kusomea? Na kwanini?
Code: