Bwana weeeeee hadi akina kibwenzi wanataka kutuajiri sisi hahaaaaaaa maisha ya jf raha sanaJf kila mtu ni bosi
Ndio maana niliishia la saba .nkaenda kuchimba madini , sasa hivi nmeajiri hao Ma graduate
Huwez kuamin kwa kua bado upo nyumban unakula kwa kengeleUongo huu...hii ni kamba mchana kweupe
Jibu zuri..!Huwez kuamin kwa kua bado upo nyumban unakula kwa kengele
ahaaaa kuna boy bado ana kula ugali wa kengele 26 years noma sana elimu form four fail//Huwez kuamin kwa kua bado upo nyumban unakula kwa kengele
Kwa uelewa wangu hatua za elimu zimepangwa kiufanisi zaidi kila hatua ipo kwa muendelezo wa hatua inayofuata.Wengi wao wamebaki kusikitika na kujuta malengo yao yame yeyuka kama mshumaa.
Huwez kuamin kwa kua bado upo nyumban unakula kwa kengele
Huwez kuamin kwa kua bado upo nyumban unakula kwa kengele
inauma sanaI second you haswaa..mimi sitokaa nimshauri mtu aende A-level hata siku moja katika maisha yangu yaliobaki hapa duniani. Ni kupoteza muda na malengo tuu..Inauma sana mtu unasoma kwa shida na bidii zote hatimae...[emoji26] [HASHTAG]#GodIsWatching[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23][emoji23]kasoro mm
Hizi fake ID jf zinaficha mengi sana, wengine hata bando wanagongea kwa dada zao lakin wakishaingia jf [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] full kukashifu maisha ya wenzao wakati hata mchana hajui itaishajeBwana weeeeee hadi akina kibwenzi wanataka kutuajiri sisi hahaaaaaaa maisha ya jf raha sana
KWELI MI NISINGESOMA ADVNC NINGEKUWA MBALI SASA HIVI