card78
Member
- Sep 22, 2018
- 49
- 48
Habari wana jukwaa naamini mko poa🤔
Nimpongeze sana Mh Raisi na wasaidizi wake ngazi zote katika kujenga nchi yetu🇹🇿
Kauli ya Waziri wa elimu juu ya mustakabali wa ajira za walimu zitakavyokuwa imenifanya niwaze mambo mengi sana
1)Kudharauliwa kwa kada ya ualimu ikiwa kivuli cha kuboresha kinatumika
2)Hitimisho katika mafunzo ngazi ya ualimu inaonekana yana mapungufu
3)Mtihani kwa Mwl kama kigezo cha ajira sio kipimo cha utendaji kazin
4)Sera ya elimu toleo la 2023, na maamuzi haviendani
5)Vigezo vilivyotumika kudahili walimu ili wapate mafunzo yamefanyiwa maboresho sana, sasa ikiwa kuna hitilafu irekebishwe mapema lakin sii had mtu ahitimu
6)Mtihani kabla ya ajira n moja ya mkanganyiko haswa kufungulia rushwa zaid ya matokeo,, sahili za oral na written za kada nyingine zinatoa taswira ilivyo
7)Kigezo cha mtihani kimelenga nn? Kuongeza rapsharapsha katika ajira au kuonyesha ualimu sio kitu cha kuchezea katika maandishi🤔
Mh waziri wa elimu kwa hili hakuna utatuz bali changamoto juu ya changamoto, maana sera ilivyo na haya maamuzi haviendani kabisa😭
Dunia ina changamoto ya ajira, ila sio Tanzania