Elimu si kigezo cha mafanikio

Elimu si kigezo cha mafanikio

mzee jongo

Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
20
Reaction score
1
Ndugu zangu,
Haijalishi umesoma kiasi gani lakini mafanikio katika maisha ni vile wewe mwenyewe unanidhamu kiasi gani maana kuna watu wengi waliofanikiwa na hawajapitia au hawakua wakifanya vizuri zaidi katika masomo yao.

Mfano mkubwa Bill Gates anasema mwenyewe kuwa anawaajili watu waliokua wakimzd kimasomo katika kampuni yake ya Microsoft na mfano mdg darasani kwetu <UDSM> aliekua ki.laza naye akijijua ndiye aliekua wa kwanza kupata kazi na kazi yenye mshahara mkubwa huko UN.
Au nyie mtazamo wenu ni upi?
 
Kisayansi elimu ni kigezo cha kufanikiwa ingawa sio kigezo peke yake. Kwa sababu siyo kigezo peke yake kuna wenye elimu ndogo ambao wamefanikiwa na pia kuna wenye elimu kubwa ambao hawakufanikiwa. Lakini ki ujumla elimu huleta mafanikio-msome Gates hapa Bill Gates, world's richest college dropout, says stay in school kwa ufupi topic inasema "A little friendly advice from the wealthiest guy without a college degree: Get one".
 
Sijajua unazungumzia mafanikio ya aina gani! ila kama unazungumzia ya kifedha kama billy ni kuwa kwanza mazingira ya kipindi kila yaliruhusu ila sasa hv ni almost impossible bila kusoma maana hata kipaji cha mtu kukitambua itahitaji elimu fulani.
hata hvyo almost 95% ya matajiri wote duniani-ni utajiri unaotokana na inheritance (Kurithi mali ) na 5% ni talents ,hivyo siku zote maji hufuata Mkondo ni kama ulivyo ukanda wa dhahabu!
 
ndugu zangu
haijalishi umesoma kiasi gani lakini mafanikio katika maisha ni vile wewe mwenyew unanidhamu kiasi gani maana kuna watu wengi waliofanikiwa na hawajapitia au hawakua wakifanya vizuri zaidi katika masomo yao mfano mkubwa bill gates anasema mwenyewe kuwa anawaajili watu waliokua wakimzd kimasomo katika kampuni yake ya microsoft na mfano mdg darsani kwetu <udsm> aliekua ****** naye akijijua ndiye aliekua wa kwanza kupata kazi na kazi yenye mshahara mkubwa huko UN
au nyie mtazamo wenu ni upi

Una uhakika unachokinena??

Kwamba kweli wewe unasoma UDSM??

Kweli kabisa???

Basi kama ni kweli, ee Mungu twakuomba uinusuru elimu yetu!!
 
Elimu ni chachu ya uelewa/kujua na kujitambua
 
Nami siamini kama kuna msomi wa chuo kikuu asiyejua umuhimu wa elimu..
 
ndugu zangu
haijalishi umesoma kiasi gani lakini mafanikio katika maisha ni vile wewe mwenyew unanidhamu kiasi gani maana kuna watu wengi waliofanikiwa na hawajapitia au hawakua wakifanya vizuri zaidi katika masomo yao mfano mkubwa bill gates anasema mwenyewe kuwa anawaajili watu waliokua wakimzd kimasomo katika kampuni yake ya microsoft na mfano mdg darsani kwetu <udsm> aliekua ****** naye akijijua ndiye aliekua wa kwanza kupata kazi na kazi yenye mshahara mkubwa huko UN
au nyie mtazamo wenu ni upi
Kweli unafikia hatua hiyo, edu ation is important than nothing in World, kama sio education tusingefika hapa tulipo hapa duniani.
 
Akili yako haina akili, kweli unafikia hatua hiyo, edu ation is important than nothing in World, kama sio education tusingefika hapa tulipo hapa duniani.

ni kweli kiongozi lakini hata ukisoma vipi kama haupo smart enough utaishia kutumika kusukuma ndoto za walio smart kosonga mbele hata kama umemzidi kielimu
 
Nami siamini kama kuna msomi wa chuo kikuu asiyejua umuhimu wa elimu..
haina maana namaanisha elimu haina umuhimu ila ninachomaanisha hapa ni kuwa mafanikio yako binafsi si lazima yalingane na kiwango chako cha elimu ndio maana kuna watu wana degree moja ila wanamafanikio kuliko baadhi ya wenye masters au kuna watu wana diploma ila wanamafanikio kuliko baadhi ya wenye degree na pia kunawafanya biashara ambao hawajasoma ila wanamafanikio kuliko watu wenye elimu zao kubali ukatae
 
Sijajua unazungumzia mafanikio ya aina gani! ila kama unazungumzia ya kifedha kama billy ni kuwa kwanza mazingira ya kipindi kila yaliruhusu ila sasa hv ni almost impossible bila kusoma maana hata kipaji cha mtu kukitambua itahitaji elimu fulani.
hata hvyo almost 95% ya matajiri wote duniani-ni utajiri unaotokana na inheritance (Kurithi mali ) na 5% ni talents ,hivyo siku zote maji hufuata Mkondo ni kama ulivyo ukanda wa dhahabu!

kwahiyo unakubaliana nami kwamba si lazima upate mafanikio kupitia elimu kwani kuna watu waliopata mafanikio makubwa pasipo ya elimu bali vipaji vyao kwani kuna wasanii wengi wa muziki na filamu walio matajiri kuliko wasomi
 
Kisayansi elimu ni kigezo cha kufanikiwa ingawa sio kigezo peke yake. Kwa sababu siyo kigezo peke yake kuna wenye elimu ndogo ambao wamefanikiwa na pia kuna wenye elimu kubwa ambao hawakufanikiwa. Lakini ki ujumla elimu huleta mafanikio-msome Gates hapa Bill Gates, world's richest college dropout, says stay in school kwa ufupi topic inasema "A little friendly advice from the wealthiest guy without a college degree: Get one".
ni kweli kabisa kwa unachokisema elimu itakufanya uwe avarage katika maisha ila ukihitaji kukua zaidi ni juu yako mwenyewe katika serikali ya kichwa chako
 
Unafikiri humu watakuelewa...kujua elimu na maarifa ni vitu viwili tofauti inaweza mchukua mtu miaka 100
 
Back
Top Bottom