Elimu ni umaskini na ujinga

Halafu unaishia kukosa ajira na unaanza kujitafuta mwenyewe mpaka ujipate miaka 30 imefika! Harakati za kuanzisha familia zinaanza huku ukiwa umepoteza miaka mingi ukiwa masomoni kwa lengo la kuajiriwa
 
ni bure sana miaka saba una fundishwa methari haba na haba……………
 
elimu ni muhimu, japo kwenye maslahi ndo pasua kichwa, mfumo wauboreshe
 
Nursery miaka 2

Primary miaka 7

Secondary miaka 4

Advance miaka 2

Chuo miaka 3

Kujitolea miaka 2

Jumla miaka 20 upo shuleni leo huyu mtu ni MASKINI
Sio wote wanapitia huo mlolongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…