Elimu na ict

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Wadau sio wanafuzi wengi wana access na Internet na baadhi yao hasa wa sekondary hawana taarifa uwa internet inaweza kuwa chanzo cha elimu .

Unakuta mwanafuzi ana strugle na physics au hesabu lakini akienda internet cafe anaishia ungalia youtube ya miziki.. Ni juu yetu tuwafahamishe na kuwaelesha wanafuzi, na hata wazazi ni jinsi gani Internet inaweza kuwasaidia wanafunzi au shule katika elimu

Nitatoa link ya baadhi yasite ambazo zina mafunzo mazuri tu.

Khan Academy
Tovuti hii
http://www.khanacademy.org/ inadhaminiwa na billgates. Ina tution ya mambo mbali mbali kama hesabu, physics chemistry, bookeeping. etc
Academic Earth | Online Courses | Academic Video Lectures

Tovuti hii
http://academicearth.org/ ina lecturer mbali mbali za wa ajili ya watu wa vyuoni. una lecture ya vyuo maarfu kama Havard na MIT. una llecturer za sheria, Philosphy na hata computer science


Je Mwanafuni asiye kuwa na internet atapataje masomo haya?

  • Mzazi ndugu au jamaa anaweza kudowload video ya somo lolote aikaiweka kwenye CD na umpatia muhusika
  • Mzazi ndugu au jamaa anaweza kutafuta mtaalam ili amtegenezee DVD ya somo lolote katika hizo link ili iweze kuchezeka wenye DVD player ya nyumbani
  • Walimu au shule zinaweza kuchukua video hizi na uzitumia kama nyongeza baada ya mafunzo ya mwalimu darasani
  • Mzazi anaweza kumpatia mwanae pesa ya kweda net na kumpatia link yoyote ya somo analoona linaweza kumfaa mwanae. Kwa saa moja kuna kitu anaweza kujifunza.
Nawasillisha kwa wadau iili nayi mtoe link ambazo zitawasaidia wanafunzi shule na vyuo....
 
Back
Top Bottom