apartments
Member
- Jun 7, 2013
- 16
- 1
Napata shida kuamini kamakweli watanzani waliowengi wanajua umuhimu wa hii mtandao ya kijamii.nikimaanisha faida au hasara ya hii mitandao,je ni topic zipi za kuchangia na kutochangia,je wengi tunachangia kwania ya kujenga au ushabiki na ubinafsi au kupoteza muda ili siku isongembele.je tunafahamu sheria na kanuni za kutoa hoja au kuchangia hoja.je tunafahamu kuwa kunawatu wanatumia hii mitandao kuinfluence chuki na migawanyiko katika jamii ambayo ni sumu ya taifa.Nikweli tupotayali kutumia ukuaji wa teknolojia kwa manufaa yetu na taifa letu .ELIMU INAITAJIKA MAMBO HAYA BADO NIMAGENI.