ELIMU: Mikopo Elimu ya Juu kaa la moto

ELIMU: Mikopo Elimu ya Juu kaa la moto

Hivi ajenda za upinzani ni zipi? Badala ya kupambana mpate tume huru ya uchaguzi mnadandia mambo madogo madogo.. Sahauni kurudi bungeni 2020..
Watapambanaje ili wapate tume huru ya uchaguzi ? ebu tupe mbinu mkuu
 
Watu waliosomeshwa bure wakati wa Nyerere ndio wanatusumbua sana. Ni wivu tu na roho mbaya walizo nazo,na ni hao hao walio katika kashifa za kulitia hasara Taifa kwakuwa walisoma bure na hawaoni uchungu wowote kwa wenzao masikini. Huwa wanafurahi kuwaona wengine ni maskini na hawasongi mbele kimaisha.
Tena walisomeshwa bure na kulipwa nauli ya kurudi makwao mbwinde, leo hii wao hawataki watoto wa maskini wapate elimu, vikwazo kila kukicha
 
inakuwa haina maana kwakua inaandaa wafanyakazi masikini wa serikali.
 
Naona leo vijana wa UDSM wameamua kukumbushia ladha ya chuo kikuu, chuo bila migomo ni kama madrassa tu.

Jesus saves, I spend.
 
Back
Top Bottom