Fundisha stata na R hiyo mbona rahisi sana utawahibia tu hela zao.
Hiyo spss wataenda kuitumia wapi kwa sasa maana maitaji yamebadilika kila sehemu wanataka stata,R na zinginezezo Sio spss
Ndio maana umekosa kazi unataka uwafundishe watu.ungekuwa unajua hizo statistical package zingine hizo .ungekuwa kazini na usingekuwa na kazi ya kuwafundisha watu mtaani.