Elimu: Mafunzo ya kuanalyse (analysis) Data kwa SPSS

Elimu: Mafunzo ya kuanalyse (analysis) Data kwa SPSS

Fundisha stata na R hiyo mbona rahisi sana utawahibia tu hela zao.
Hiyo spss wataenda kuitumia wapi kwa sasa maana maitaji yamebadilika kila sehemu wanataka stata,R na zinginezezo Sio spss

Ndio maana umekosa kazi unataka uwafundishe watu.ungekuwa unajua hizo statistical package zingine hizo .ungekuwa kazini na usingekuwa na kazi ya kuwafundisha watu mtaani.
 
Back
Top Bottom