elimu kwanza GAS baadae

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Hivi hawa ndugu zetu wa mtwara hata wakipewa au hiyo mitambo itawasaidia nini ikiwa hadi leo hii karne ya 21 bado wanaamini ungo na uchawi. Hawafanyikazi wanasubiri gas. Sasa kuchoma moto mahakama na nyumba ya mbunge maana yake nini. Au ndio maendeleo wanayotaka. Hawa watu sidhani hata kama wana dini.mwishowe nasema hata hiyo mitambo au gas haitawasaidia chochote
 
Yes, naamini Elimu kwao lingekuwa swala la msingi kbs. Au wao wanadhani au wanaitaka waitimie bure??
Ni nini concern yako kwenye Gas?
 
Hivi hawa ndugu zetu wa mtwara hata wakipewa au hiyo mitambo itawasaidia nini? Hawafanyikazi wanasubiri gasi. mwishowe nasema hata hiyo mitambo au gas haitawasaidia chochote

Kama unajua vijana wa mtwara hawafanyi kazi, maana yake hawana ajira.

Huoni kwamba kuna haja kwa serikali kujenga viwanda na mitambo hiyo mtwara ili vijana hawa wapate ajira?

Vilevile serikali inapaswa kujenga chuo kitakachokuwa kinatoa mafunzo ya mambo ya gesi ili kuwawezesha vijana hawa kunufaika na gesi hii.
 
mkuu wanachokipigania watu wa mtwara ni wao pia wapewe kipaumbele kwanza.ngoja nikupe mfano anagalia tokea chuo kikuu kianzishwe pale dodoma mji wa dodoma umeendelea vibaya sana leo hii ukitaka nyumba ya kupanga lazima uwe na kama laki tatu hadi nne kwa mwezi. hiki ndo watu wa mtwara wanataka nao wapate haki zao kufaidika na gesi.
 
Hiyo ajira hawatapata kwani elimu hawana wataishia kuwa mama nitile na wabeba zege..... Ajira itaenda kwa makabila yaliyosoma. Mwishowe watajenga nao chuki na kuhatarisha mitambo na utendaji kazi.
 
Wao wamekaa wanalala na kuamka wanawaza mtwara itakuwa kama dubai . Kazi hawafanyi wanasubiri maandamano ya wanasiasa. Hawajui kuwa wanasiasa wanawafanya ngao ya kujipatia umaarufu
 
Usafiri wa ungo ni sayansi ya mwafrika inayotakiwa kupewa kipaumbele ili idhihirike wazi. Serikali inatakiwa kuwaunga mkono ili tuepukane kutegemea sayansi ya mzungu.
 
the big show come this way please

hiyo mahakama iliyochomwa moto inasemekana eneo hilo haitakiwi tena kuwepo,wamechoma kwa chuki na serikali hii ya ufisadi,kwan nimeskia watu wanasema kwamba eneo hilo mahakama wanatakiwa kuondoka kwenda sehemu nyingine na kwamba eneo limenunuliwa na riz1,kwaiyo wanamsaidia kulihamisha moja kwa moja,ukiachilia mbali hizi vurugu holela,kwanin serikali inagoma kufanya mazungumzo na wananchi??
 
Hivi hawa ndugu zetu wa mtwara hata wakipewa au hiyo mitambo itawasaidia nini ikiwa hadi leo hii karne ya 21 bado wanaamini ungo na uchawi. Hawafanyikazi wanasubiri gas. Sasa kuchoma moto mahakama na nyumba ya mbunge maana yake nini. Au ndio maendeleo wanayotaka. Hawa watu sidhani hata kama wana dini.mwishowe nasema hata hiyo mitambo au gas haitawasaidia chochote

Ukisema hawana dini unakosea, hawa watu ni waislam sada kwa nini unasema kuwa hawana dini?
 
Hiyo ajira hawatapata kwani elimu hawana wataishia kuwa mama nitile na wabeba zege..... Ajira itaenda kwa makabila yaliyosoma. Mwishowe watajenga nao chuki na kuhatarisha mitambo na utendaji kazi.

Acheni maneno ya dhihaka wewe na mtoa uzi huu!! Kwa kuwa baba zenu wapo serikalini wanafaidi na ninyi mnataka kufaidi? Mbona uzi wako haonekani kuwa na mashiko halafu haueleweki. Waachiwe mitambo ya nini sasa? Kwani wao umesikia wanataka mitambo elewa somo kwanza ndo utoe uzi
 
Hivi hawa ndugu zetu wa mtwara hata wakipewa au hiyo mitambo itawasaidia nini ikiwa hadi leo hii karne ya 21 bado wanaamini ungo na uchawi. Hawafanyikazi wanasubiri gas. Sasa kuchoma moto mahakama na nyumba ya mbunge maana yake nini. Au ndio maendeleo wanayotaka. Hawa watu sidhani hata kama wana dini.mwishowe nasema hata hiyo mitambo au gas haitawasaidia chochote

Ungewashangaa mabosi wako wanaacha kujibu hoja za wanamtwara wanakimbilia kumteka bibi wa watu, hivi hata hiyo gesi mkipeleka dar si mtashindwa kufanya chochote hadi bi somoe aje awaongoze?
 
Hiyo ajira hawatapata kwani elimu hawana wataishia kuwa mama nitile na wabeba zege..... Ajira itaenda kwa makabila yaliyosoma. Mwishowe watajenga nao chuki na kuhatarisha mitambo na utendaji kazi.

Jidanganye!!!
 
Daaahh kweli yaani hujui hata ajira ni nini, umezoea ajira ni ya serikali peke yake
 
hiyo mahakama iliyochomwa moto inasemekana eneo hilo haitakiwi tena kuwepo,wamechoma kwa chuki na serikali hii ya ufisadi,kwan nimeskia watu wanasema kwamba eneo hilo mahakama wanatakiwa kuondoka kwenda sehemu nyingine na kwamba eneo limenunuliwa na riz1,kwaiyo wanamsaidia kulihamisha moja kwa moja,ukiachilia mbali hizi vurugu holela,kwanin serikali inagoma kufanya mazungumzo na wananchi??

Kwa jinsi ulivyo ubongo mdogo . Hata dada yako au mkeo akichelewa kurudi nyumbani utasema alikuwa kwa riz1
 
Back
Top Bottom