MUSONI JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 904 Reaction score 692 Feb 13, 2019 #1 Naomba elimu hizi smart phones na esp WhatsApp watu wanashare photos m,bali mbali na zinajisave automatic kwenye galley....how do I avoid this inajaza simu na un wanted photos... SAIDIA ELIMU HIYO.... 2. HAPA UNAJUAJE GENDER YA MEMBER HE/SHE
Naomba elimu hizi smart phones na esp WhatsApp watu wanashare photos m,bali mbali na zinajisave automatic kwenye galley....how do I avoid this inajaza simu na un wanted photos... SAIDIA ELIMU HIYO.... 2. HAPA UNAJUAJE GENDER YA MEMBER HE/SHE
Tyrex JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 2,449 Reaction score 5,343 Feb 13, 2019 #2 Nenda kwenye settings, media kule kuna ma options za kudownload Sent using Jamii Forums mobile app
cyma Senior Member Joined Mar 25, 2013 Posts 136 Reaction score 210 Feb 13, 2019 #3 nenda kwenye 'settings' kisha chagua 'data and storage usage' kisha uta uncheck hzo options za kwenye 'media auto-download' Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kwenye 'settings' kisha chagua 'data and storage usage' kisha uta uncheck hzo options za kwenye 'media auto-download' Sent using Jamii Forums mobile app
MUSONI JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 904 Reaction score 692 Feb 13, 2019 Thread starter #4 TYREX NAONA HAUJANISAIDIA ON ISSUE YA PICHA AUTOMATIC KUINGIA KWA GALLEY ….
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Feb 13, 2019 #5 nimedisable hiyo kwa Yowhatsapp,whatsapp ya kawaida sijui kama inaoption hiyo ya kuzuia hizo pics/vidz zisiwe saved directly kwenye gallery MUSONI said: TYREX NAONA HAUJANISAIDIA ON ISSUE YA PICHA AUTOMATIC KUINGIA KWA GALLEY …. Click to expand...
nimedisable hiyo kwa Yowhatsapp,whatsapp ya kawaida sijui kama inaoption hiyo ya kuzuia hizo pics/vidz zisiwe saved directly kwenye gallery MUSONI said: TYREX NAONA HAUJANISAIDIA ON ISSUE YA PICHA AUTOMATIC KUINGIA KWA GALLEY …. Click to expand...
MUSONI JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 904 Reaction score 692 Feb 13, 2019 Thread starter #6 IPO AM TOLD WILL KEEP ON ASKING WATAALAM ...asante.