Elimu kuhusu majini kabla ya binadamu

Kwani Uislam na majini si ni kitu kimoja au? Ninachojuwa mimi ukijikita sana kwenye Uislam lazima tu mwisho wa siku utafuga majini na kuua wenzako.
 
Kwann mpishane sasa kipindi we unaamini maandiko yao wao hawaamini maandiko yenu hii shida ndo inapoanzia.

Turud kweny hoja ya majini sasa nitashusha nondo asubh
Tunapishana sababu ,Wayahudi sio wote wanaamini agano jipya , simple tu

Njoo ushushe nitakuuliza maswali kutokana na utakavyoelewa pia kulingana na Hadith na Quran
 
Tunapishana sababu ,Wayahudi sio wote wanaamini agano jipya , simple tu

Njoo ushushe nitakuuliza maswali kutokana na utakavyoelewa pia kulingana na Hadith na Quran
Tumekubaliana Quran hàihusik hapa ni zabur, torat na injil tu.

Wayahudi hawaamini biblia full stop

Kama ukiwa tayar kuanza mjadala tutaanza
 
Karibuni wakuu

🧞‍♂️🧞‍♂️🧞‍♂️
 
Karibuni wakuu

🧞‍♂️🧞‍♂️🧞‍♂️

Ww bila shaka ni Mkristo.

Ila ni kweli watu wanaweza kuita majini.

Unaweza kuita Majini na yanatii na yanaamrishwa nn wafanye. Iwe kibaya au kizur. Na wanafanya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…