Habari zenu wana jamvi, naomba mwenye uelewa au anaefanya hii biashara ya tigo pesa na m-pesa anipe mwongozo kidogo. Kuhusiana na Commission inakuwa kiasi gani, mtaji kwa kuanzia tigo pesa ni kiasi gani na taratibu za kupata line inakuwaje? Natanguliza shukrani.