Elimu kubwa TAMISEMI ni kunitafutia stress

Ukimaluza masters kwanza uwe chawa, pili andaa kibunda Cha kununua huo uHM na tatu uwe na connection.

Hakuna anayekuogopa Kwa kimastaz chako cha kuunga unga.

Ukishapewa uHM kuwa chawa Mkuu, ili uwe AEK. Ukiupata huo uAEK kuwa chawa Mkuu mwandamizi, Anza safari za Dodoma ili uteuliwe kuwa DAO/SLO.

Baada ya kuwa DAO/SLO endeleza uchawa mwandamizi daraja II, Anza kuwaroga na kuwapiga majungu maafisa elimu. Jipendekeze Kwa mbunge wa eneo lako na la ulikozaliwa ili upate connection Kwa wazito wa tamisemi. Ukipewa uDSEO au DEO ndipo unayaoatia maisha na kuifaidi masters Yako huku ukikunja LSEE2 3,400,000 yenye matupu ya nyumba, mavazi, mawasiliano nk.

Kama huwezi niliyokushauri usipoteze Hela kusoma ukitegemea muujiza eti utaonekana, never never!
Umemaliza mkuu na Uzi ufungwe.
 
Sasa hr si umfanyie mpango mana kwa lugha hio kakuelewa yeye tu
 
Sasa ulienda kusoma ili iweje Tod [emoji16] au ulitaka tu urudi kudolishia Phd
Hapo aliyeenda kusoma na mwenye Elimu yake humjui na hakukuomba chochote umsaidie, ukimjua si utanuna na kukonda ndugu...... Hakuna anayeenda kusoma ili ku ringishia mwingine. Jiamini tu !
 
Basi atulie aendelee kupiga chaki hadi siku apate koneksheni malalamiko ni kelele
 
Punguza kihelehele mjumbe kwani kakuita ? Mbona kama unawashwa na pilipili usioila? Pita hivi km uzi unaona haukuhusu
 
Ukimaluza masters kwanza uwe chawa, pili andaa kibunda Cha kununua huo uHM na tatu uwe na connection.

Hakuna anayekuogopa Kwa kimastaz chako cha kuunga unga.

Ukishapewa uHM kuwa chawa Mkuu, ili uwe AEK. Ukiupata huo uAEK kuwa chawa Mkuu mwandamizi, Anza safari za Dodoma ili uteuliwe kuwa DAO/SLO.

Baada ya kuwa DAO/SLO endeleza uchawa mwandamizi daraja II, Anza kuwaroga na kuwapiga majungu maafisa elimu. Jipendekeze Kwa mbunge wa eneo lako na la ulikozaliwa ili upate connection Kwa wazito wa tamisemi. Ukipewa uDSEO au DEO ndipo unayaoatia maisha na kuifaidi masters Yako huku ukikunja LSEE2 3,400,000 yenye matupu ya nyumba, mavazi, mawasiliano nk.

Kama huwezi niliyokushauri usipoteze Hela kusoma ukitegemea muujiza eti utaonekana, never never!
Kumbe ni kazi kubwa hv,ndo maana kuna wasukuma wawili niliwakuta wapo na masters zao lakin ukiona nyumba wanazoishi za serikali hadi unakata Tamara na wanaendelea kushika chaki kama kawaida na wapo chaka haswa
 
Kama unafanya kazi chini ya ofisi ya Rais TAMISEMI ngazi za chini hususani Ualimu harafu ukapata Elimu kubwa ya juu hususani ngazi ya Masters au doctorate degree, unanielewa vizuri.

Ngazi ya Halmashauri idara ya Elimu hawazingatii mwalimu mwenye degrees mbili au tatu. Sababu ya maana haieleweki lkn husikika ikisemwa ngazi hiyo ya Elimu ni faida ya mwalimu.

Sasa nini hutokea ukiwa na Elimu hiyo; kwanza hutegemea hutakaa uendelee kufundisha, wanahisi na kuamini utaondoka. Katika mtazamo huo linaloibuka ni kuwa unaweza usifikiriwe kwa lolote kwa maana ya post ya nafasi ya uongozi hata ngazi ndogo tu kama U- headmaster na kujikuta vijana wadogo wanateuliwa na kuanza kuwaongoza wale wazoefu kazini na wenye elimu kubwa. Hali hii inafikirisha sana kwa nini maamuzi ya teuzi hizo kuwa hivyo. Lingine Kuna ishara za mtazamo hasi kutoka wa watumishi (kundi la waajiriwa) kwa watu /walimu wenye Elimu kubwa.

Mara nyingi wenye Elimu kubwa hutazamwa na kusemwa vibaya na watumishi wengine kwa vile wanafanya kazi Kama wanazofanya wenyewe. Katika hilo huwasema wasomi hao kuwa Elimu zao hazijawasaidia. Mitazamo yao wanataka ukiwa na Masters degree au doctorate degree ukakae TAMISEMI au Elimu au Wizara yoyote au kazi nyingine tofauti na kufundisha darasani.

Kiuhalisia kusoma degree ya pili au ya tatu harafu ukarudi kituoni kwako kufundisha ni changamoto sana. Kuna watu wanatamani uwezo wako wa Elimu usijulikana, Kuna watu wanataka usionekane wala kutoka. Na usiposhtuka waweza kuzeeka na kustaafu bila kuteuliwa na kupuuzwa tu.

Maana yake ni nini Elimu hiyo kwa mashuleni Kama vituo vya kazi na Halmashauri siyo sehemu sahihi ya kwenda au kupeleka masters na PhD huko. Kingine nilichokiona, Elimu ya juu nchini bado haipokelewi vzr ngazi za chini. Kuna mwamko na exposure ndogo huko. Ukisoma sana bado unaonekana threat kwa wengi. Hapo ndo utapingwa, kutengwa na kubaguliwa kwa mengi mazuri.

Hivyo kama ni mtumishi (mwalimu) na unatamani kupata Elimu hizo kubwa jiandae kwa stress, au ujiandae kabla hujaipata uwe umetafuta sehemu nyingine ya kwenda kufanya kazi lakini si kule chini kufundisha. Kuna changamoto sana.
Mkuu master au doctorate, hawa hawana degree mbili wala tatu.
 
Punguza kihelehele mjumbe kwani kakuita ? Mbona kama unawashwa na pilipili usioila? Pita hivi km uzi unaona haukuhusu
Weeee ukishapost tu hapa ndo ushatoa mwaliko dada ukitaka nsichangie andika pm, ndo nmekuja sasa rasmi nlikua nshaandika ya mwisho
 
Na jitihada za kusoma na kuondoa ujinga ziko ngazi ya Shule za Msingi, na Sekondari. Elimu ya juu ni kinyume chake
 
Back
Top Bottom