Elimu katika awamu ya tano

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Mheshimiwa alitumia busara kubwa sana, kujaza madawati shuleni huku akijitahidi kusitisha ajira za walimu.
Toa maoni yako!
 
Sasa cjajua ana mpango gan maana madawat bila walim itakuwa elim bora au bora elim.Nadhan ni mtwara kama cjakosea shule zke zmekuwa ktk top ten ya mwisho,na sababu mojawapo inayoonekana ni upungufu wa walim.Watumish wengi wanakimbia kule kutokana na mazingira c rafiki kwa walim.sasa kama ajra kwa walim imectxhwa ni htar xna hasa ktk maeneo ya vjjn.Lkn ye2 macho2 hpa,maamuz ndo yao.
 
Back
Top Bottom