WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,472 Reaction score 1,581 Dec 13, 2014 #1 Jamani habari...naomba nipewe elimu kuhusu king'amuzi hiki..nimeona tangazo lao la promotion.nikashawishika kununua naomba kujuzwa na wataalam wa mambo je nikizuri sana au huduma na chaneli zake ni zipi?
Jamani habari...naomba nipewe elimu kuhusu king'amuzi hiki..nimeona tangazo lao la promotion.nikashawishika kununua naomba kujuzwa na wataalam wa mambo je nikizuri sana au huduma na chaneli zake ni zipi?
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,211 Reaction score 35,863 Dec 13, 2014 #2 Umeokoka?
Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,129 Dec 13, 2014 #3 ushauri wa bure .. achananacho nunua Continental satellite au azam