daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 148
- 240
bodi ya wakurugenzi inatumika sana kwa makampuni yaliyo public sababu yanakuwa na stakeholders wengi , inahitajika jopo la watu kufanya maamuzi ya nani aongoze kampuni nan awe CFO sera zipi zitume nk.Habari?
Mkuu bodi ya wakurugenzi ni suala la lazima kisheria?
Au kama watu wana kampuni yao ndogo ya directors wawili wanaweza ignore.
Kingine, Je kama watu wawili wanaanzisha kampuni, wao ndio directors, inakubalika kwa director mmoja ku cover pia nafasi ya secretary?Maana katika kusajili naona wanataka details za secretary
Sina uelewa mpana sana ila naona hii imebase sana kwenye makampuni binafsi ila kwa taasisi za serikali inatofautiana sana, hasa kwenye vipengele vya kumpata CEO na wajumbe w
Sina uelewa mpana sana ila naona hii imebase sana kwenye makampuni binafsi ila kwa taasisi za serikali inatofautiana sana, hasa kwenye vipengele vya kumpata CEO na wajumbe wa bodi
ni kweli mkuu
Kampuni za Bakhressa zinaangukia katika kundi lipi? Zina bodi ya Wakurugenzi?bodi ya wakurugenzi inatumika sana kwa makampuni yaliyo public sababu yanakuwa na stakeholders wengi , inahitajika jopo la watu kufanya maamuzi ya nani aongoze kampuni nan awe CFO sera zipi zitume nk.
lkn kwa kampuno ndogo hainatija kama mpo wawili maamuzi kufanyika ni rahisi na pia nyie wawili, mmoja wenu pia anaweza kucover nafasi ya secretary
zile ni private companies, sina taarifa kamili lkn kwa ukubwa wake nadhani Zina body of directors lkn hizo information sio public (sababu ya nature ya private companies )Kampuni za Bakhressa zinaangukia katika kundi lipi? Zina bodi ya Wakurugenzi?