Elimu imenishinda

Mdogo wangu yote ni mipango ya mungu sisi wanadamu tusiyoijua. Ngoja tu nikupe ushuhuda
mimi nilisoma o-level shule moja maarufu ya bweni pwani, kuna watu ambao walikuwa ni the best students(mimi mmojawapo) walionitangulia kimadarasa na niliokuwa nao darasa moja gap la matokeo lilikuwa kubwa sana kati yetu mfano unakuta hyu ana 85% mwingine ana 40% tuliendelea mpk mwisho, ni kweli best tulifanya vizuri sana div 1 na div 2. waliobaki walipata div 4. cha ajabu leo hii amini usiamini mdogo wangu wale wa div 4 waliunga-unga na kuresat exams ndio wapo mlimani japo wamechelewa na wale wa div 1 za pts 10 wengi kama 80% walienda vyuo visivyo na hadhi yaani wengine mpk wanasoma uvuvi..

usifuate mkumbo ukaenda chuo mradi chuo tuliza akili ndoto zako za kusoma mlimani bado zipo, jaribu kureseat exams hata ukifanya pepa 2013 sio mbaya kwasasa jiandae taratibu mpk hiyo 2013 coz stress bado ipo

tulia mdogo wangu
 
asante kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom