Elimu haina mwisho: Mawakili wetu sikiliza submissions za wenzenu Supreme court Kenya on Citizen TV (election petition)

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,980
Naamini mnaweza kujifunza moja au mawili (na wao tukiwa na case kama hii wanaweza kujifunza kutoka kwenu). Hasa mawakili vijana, See if your English fluency and legal arguments can match that of your colleagues.
Nimekuwa impressed na Julia Soweto mwana dada anavyoweza ku present arguments kwa ujasiri being a female. Mawakili wetu wanawake naomba mfuatilie , kuna la kujifunza kutoka kwa dada huyu.
(Sio kuwa hamwezi, hapana, ni kujifunza tu jinsi ya ku argue cases kama hizi huko mbele)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom