Elimu feki ..... continued...

skasuku

Senior Member
Apr 19, 2008
113
4
Wakati tunasubiri kujua litakalowatokea mawaziri wenye elimu tata (if anything) tunaendelea kuona vigogo wetu wanavyopenda shortcut.

Katika ku-research huyu jamaa Stephen Mabada (act. CEO TANESCO) nakuta kala nondoz ya MBA in 3 days, hii imeniacha hoi. Hawa ndio watu tunaowapa dhamana kuongoza kampuni/idara nyeti.

Source: http://www.terrapinntraining.com/Course.aspx?EID=3330
 
This must be a kind of a joke!
Kama hii ndo inamsababisha awe MBA holder (3days) basi huu ni utani wa mchana kweupeee, na ni ubakaji wa taaluma!
 
i dont get it yet.... was this just a seminar,or? coz i am not sure if smbody will ever dare to award anybody a MBA or watver within 3 days.... mi nafikiri ilikuwa semina ya kuwapiga masasa wale waliokuw na MBA tayari au waliokuwa kwenye industries kama slogan ya yule jamaa wa kenya..... NO offence naomba mzee ufanye research utujie na full profile ya huyu mabada hawezi kuwa Idiot kisi hicho ajiite ana MBA ya Power and electricuty ... aliyoipata ndani ya 3 days....

I dont buy it......
 
... ndio hio. What do you not believe? Hii kozi ya MBA in Power & Electricity ipo (although not credible), na ukisoma ni wakina nani wanakua encouraged to attend utakuta ni senior management katika kampuni.. (Not MBA refresher or walio na MBA tayari).

Conclusion: Hii ni MBA fasta fasta kama za waheshimiwa fulani fulani.

Wale ambao wapo TANESCO, shusha dataz za huyu CEO wenu mpya!!
 
Haujaielewa hii kozi mkuu, ni professional short course, angalia kwenye about us
 
Back
Top Bottom