Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,100 Oct 20, 2017 #21 Hance Mtanashati said: November Click to expand... Asante
S sanahimogita Member Joined Oct 8, 2017 Posts 94 Reaction score 71 Oct 21, 2017 #22 Ze Heby said: Mdogo wangu amepata A tano Nasubiri nione atachaguliwa wapi kama vipi nimfanyie transfer kwenda special school hasa hasa Kibaha Click to expand... Watampanga shule ya kata maana kama mitihani ya kusiliba, huenda kabahatisha
Ze Heby said: Mdogo wangu amepata A tano Nasubiri nione atachaguliwa wapi kama vipi nimfanyie transfer kwenda special school hasa hasa Kibaha Click to expand... Watampanga shule ya kata maana kama mitihani ya kusiliba, huenda kabahatisha
S sanahimogita Member Joined Oct 8, 2017 Posts 94 Reaction score 71 Oct 21, 2017 #23 natoka hapa said: Mi mdogo wangu (ke) amepata A nne na B moja sijui atapangwa shule gani aisee maana usishangae wakamtupa shule ya kata tena day mwanzo mwisho Click to expand... Wako wengi sana wenye ufaulu huo so, Hilo ni la kawaida asubiri tu kupangwa shule za kata
natoka hapa said: Mi mdogo wangu (ke) amepata A nne na B moja sijui atapangwa shule gani aisee maana usishangae wakamtupa shule ya kata tena day mwanzo mwisho Click to expand... Wako wengi sana wenye ufaulu huo so, Hilo ni la kawaida asubiri tu kupangwa shule za kata