TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,494
- 28,411
Kuwa makini lakini usije uka'muhongoiwa' au uk'weremiwa' ama uka'tibaijuikiwa' , kueskroo ni kazi ya hatari sana... fikiria mara mbili mkuu.Hizi foleni za Dar hizi ni muhimu sana kueskroo mahali na kunua japo kachopa kamoja.
Michael Mtitu kwa suala la service wataalam nasikia tunao wakutosha, ila kwa masuala ya kodi na ushuru sina hakika ni kiasi gani. Mkuu kama unauzoefu ebu tupe mchanganuo wa kuihudumia chopa ili tujipime kabla hatuaja uvaa mkenge.
Kuwa makini lakini usije uka'muhongoiwa' au uk'weremiwa' ama uka'tibaijuikiwa' , kueskroo ni kazi ya hatari sana... fikiria mara mbili mkuu.
Jaman naomba bei zake
mimi naenda kununua.
Sina uzoefu TUJITEGEMEE ila kwa kufuata kanuni ya kuwa namba hazidanganyi, utagundua kuwa hivyo vindege kwa mtu wa kipato cha kibongobongo havifai kwa sababu:
-Itakulazimu ununue kindege cha zamani sana ili kuendana na madafu yako
-Kutokana na ukongwe kitakuwa kinahitaji service za mara kwa mara
-Parking yake ni airpot, huwezi kupaki nyumbani
-Bima yake itakuwa siyo ya kitoto
-Utalazimika kuingia darasani au kuajiri rubani
-Mwisho kabisa mafuta ambayo hata kwenye vitz huwa yanatushinda