July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Ukinijibu vzr hapa nakupa zawadi
ya EID l HAAJ:
11,000/= kwa kiswahili "Elfu kumi
na moja"
10,001/= je hii utaitaje?
:A S cry::A S 465:
Ukinijibu vzr hapa nakupa zawadi
ya EID l HAAJ:
11,000/= kwa kiswahili "Elfu kumi
na moja"
10,001/= je hii utaitaje?
:A S cry::A S 465:
Ukinijibu vzr hapa nakupa zawadi
ya EID l HAAJ:
11,000/= kwa kiswahili "Elfu kumi
na moja"
10,001/= je hii utaitaje?
:A S cry::A S 465:
mkuu, nimekupigia makofi. Try hardernasubiri hiyo zawadi na asiponipa namripoti kwa mods wampe ban ya mwaka
mkuu, nimekupigia makofi. Try harder
ila haujapata jibu.. Keep n trynnashukuru mkuu
ila haujapata jibu.. Keep n tryn
nipe mji nikupe jibu.. Mji uanze na herufi E, na umalizike na elfi QWe nimepata au kuna jibu lingine tofauti na hilo
nipe mji nikupe jibu.. Mji uanze na herufi E, na umalizike na elfi Q
hahaha,sio inshu kaka..Mkuu sio kirahisi hivyo unavyodhani yani nipate jibu then nikupe mji au na wewe ndo wale wale wa shule zetu za magamba?
hahaha,sio inshu kaka..
ya kwanza kumi na moja elfu na ya pili ndiyo elfu kumi na moja. Umeipata hiyo.