Ndugu zangu salaaam
Heri ya pasaka Yenu kwa ndugu zangu wakristo.
Nimekwama ndugu zangu,kijana wetu yule mgonjwa anatakiwa kufanyiwa chemotherapy leo kuanzia saa 5.kama mwezi mmoja uliopita niliwaambia naelekea kukwama kifedha,na dogo hatakiwi kukosa session yoyote.
Leo nimekwama ndugu zangu,nimekusanya nlichonacho nimepungukiwa elfu 95 za kitanzania.session ijayo ya tarehe 4 tukijaaliwa tarehe zitakuwa zimekaa vizuri sitahitaji chochote toka kwenu.
Naomba kwa atakayeguswa na hili anaweza kunisaidia ili dogo atibiwe leo.
Nafahamu nimechelewa kusema hii ni kutokana na kupewa ahadi ya leo asubuhi lakini huyo mtu akakwama.namba zangu ni 0686050766/0752079457
Natanguliza shukurani,na kwale ambao wapo dar tunaweza kukutana rabininsia hospitali ntakuwa pale saa 4 na nusu asubuhi ya leo.
Ahsanteni