au ndo mambo ya mitano tena mboga mboga 😀😀bado hujaelewa soma tena
Bro wote tunatambua sisi ni viumbekwan si hata yy pia ni kiumbe au sijaelewa
Hapana, yeye ni mungu wa chawa na majambazi wake. Akiagiza mtu fulani apotezwe, anapotezwa fasta!naye ni kiumbe pia
Hakika ni laana kuongozwa na mwanamkeSamia akiwa anamchamba MTU mwenye Elimu kubwa alafu Mtanzania alafu ana Maisha yake ya juu hutumia neno 'Jitu'.
Akiwa anachamba Mtanzania asiye na kazi, hoe hoe, au Mtu asiyekua Mtanzania hutumia Maneno ya 'Kudogosha'.
Kwa mfano, Gwajima, huwez Kuta Samia anamtaja Gwajima 'Kiumbe'.
Mpaka sasa bado hamjatengua hoja za Gwajima.Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi.
Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake.
"Hakuna kiumbe atajayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania"
Ewe mwanaJF, Mtanzania, Msomaji au yoyote yule unaelewa maana ya neno "Kiumbe"?
Nikitafsiri kidogo tu kutoka kamusi za walami.
something created either animate or inanimate: such as
a
: a lower animal
especially : a farm animal
b
: a human being
c
: a being of anomalous or uncertain aspect or nature
Yaani kilichoumbwa iwe ni mnyama au la au tunachofikiri kina uhai au hata kisicho kawaida tu.
Hivyo basi statement ya mhe.Rais ni extra terrestrial statement inayotakiwa kutiliwa maanani na sio kukurupukiwa na wahuni pengine wansojidai ni maaskofu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mnakuza mambo sana tofauti na uhalisia kabisa.Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi.
Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake.
"Hakuna kiumbe atajayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania"
Ewe mwanaJF, Mtanzania, Msomaji au yoyote yule unaelewa maana ya neno "Kiumbe"?
Nikitafsiri kidogo tu kutoka kamusi za walami.
something created either animate or inanimate: such as
a
: a lower animal
especially : a farm animal
b
: a human being
c
: a being of anomalous or uncertain aspect or nature
Yaani kilichoumbwa iwe ni mnyama au la au tunachofikiri kina uhai au hata kisicho kawaida tu.
Hivyo basi statement ya mhe.Rais ni extra terrestrial statement inayotakiwa kutiliwa maanani na sio kukurupukiwa na wahuni pengine wansojidai ni maaskofu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
kaka kwani usichoelewa nini?Samia akiwa anamchamba MTU mwenye Elimu kubwa alafu Mtanzania alafu ana Maisha yake ya juu hutumia neno 'Jitu'.
Akiwa anachamba Mtanzania asiye na kazi, hoe hoe, au Mtu asiyekua Mtanzania hutumia Maneno ya 'Kudogosha'.
Kwa mfano, Gwajima, huwez Kuta Samia anamtaja Gwajima 'Kiumbe'.
Mimi hupenda kutumia tungo tata, mfano akili za mbayuwayu changaya na zakwakoKwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi.
Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake.
"Hakuna kiumbe atajayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania"
Ewe mwanaJF, Mtanzania, Msomaji au yoyote yule unaelewa maana ya neno "Kiumbe"?
Nikitafsiri kidogo tu kutoka kamusi za walami.
something created either animate or inanimate: such as
a
: a lower animal
especially : a farm animal
b
: a human being
c
: a being of anomalous or uncertain aspect or nature
Yaani kilichoumbwa iwe ni mnyama au la au tunachofikiri kina uhai au hata kisicho kawaida tu.
Hivyo basi statement ya mhe.Rais ni extra terrestrial statement inayotakiwa kutiliwa maanani na sio kukurupukiwa na wahuni pengine wanaojidai ni maaskofu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Bro wote tunatambua sisi ni viumbe
Lakini connect dot yanayoendelea nchini vifo vya watu wasio na hatia
Kupotea kwa watu,na kadharika then anakuja rais wa nchi anatumia kauli tata kama hiyo
hapo nmekuelewa yaan kama ni