Elewa haya unapoambiwa Mwl. Julius Nyerere ni Baba wa Taifa la Tanzania

Kama binadamu wengine tulivyo, alikua na mapungufu yake. Lakini atakumbukwa daima kwa kuweka maslahi ya nchi mbele kuliko yake binafsi.

Ameacha alama kwamba aliwahi kuishi duniani. Najiuliza kila mara, siku nikimaliza safari yangu hapa duniani, ntakumbukwa kwa lipi?
Ni kweli aliweka maslahi ya taifa mbele. Huyu wa sasa ameyaweka maslahi mbere
 
Back
Top Bottom