a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,162
- 3,575
well saidmambo ya kutumia akili ili mwanamke akuelewe wakati wa siku ya mwisho atakuacha sio kabisa,kinachomfanya mwanaume kutumia mipango mingi kumpata mwanamke ni akili ya utamu kwanza halafu mengine huwa yanafuata baadae sasa muwe makini mnavyoanza mawindo je unampenda kwasababu ya kiburudisho au akuzalie watoto mjenge familia itakayo kuwa na furaha?, mimi naamini mwanamke kama ni wako atakua wako tu hutatumia nguvu,yani sumaku huvuta chuma
well said
1.dont fall in love but stand in love(penda kwa kutumia akili sio kwa moyo/hisia)
2.use your mind instead of your feeling(tumia akili usipelekeshwe na nyege)
3.oa mwanamke anayekupenda wewe kama ulivyo..uanaume wako tu wewe mwenyewe akikuona tu anashiba .
5.usitumie NGUVU nyingi kubembelea kushikilia penzi(USILAZIMISHE KUPENDWA)
.usimsujudie mwananmke ,akuhurumie kukupenda yani kama anakusaidie ...usimsujudie usimuabudu mwanamke ili akupende
6.oa mwanamke ambaye hayupo tayari kukupoteza anayetambua thamani yako wewe kama mwanaume uanaume wako
7.USILILIE MAPENZI...ni aibu mwanaume kusema hawezi kuishi bila huyo...usimbembeleze ..asikupande kichwani...usionyeshe udhaifu,usikiri udhaifu...usimuabudu...akitaka kwenda MUACHE AENDE...amekupunguzia matatizo huko mbeleni....
ukiruhisu nyege hisia zitawale badala ya akili itawale ,..utakuwa mwanaume dhaifu sana ..utamlamba miguu mwanamke atakutawala ..tena..atakudharau sana.
umeongea ukweli mtupu mkuuwell said

That's means gender equality is a senseless movement. How can women demand elevation from their equals.!It’s valid.. Sababu mwanamke usipokuwa elevated na mwanaume jua kwenye hilo game wewe umelost!
Jana Yoda ameshinda akikuelezea maana ya gender equality, leo unakuja na hii.That's means gender equality is a senseless movement. How can women demand elevation from their equals.!
From gender equality point of view, for a man to elavate a woman is an abuse. Because as a man, doing so you are indirectly saying women are weak or less and they need a saviour.
Vyovyote lazima u-compasate muda wa mwanamke, na yeye afanye hivyo hivyo… it’s all about this!Ila kuna wanawake wanaostahili na wengine ni parasites tu 🤔
Sema mwamba una akili san🔥🔥🔥🔥Adults love with strategy, not fantasy.
Hapo kwenye ndoa ngoja nikae pembeni 😁Vyovyote lazima u-compasate muda wa mwanamke, na yeye afanye hivyo hivyo… it’s all about this!
Mi sizungumzii mengine, nazungumzia mahusiano na ndoa.
Kama unataka elevation kutoka kwa mwanaume hauoni kama ilo hitaji linajipinga na movement ya usawa wa kijisnia ambayo inasema mwanaume na mwanamke wapo sawa?Jana Yoda ameshinda akikuelezea maana ya gender equality, leo unakuja na hii.
Hii abuse mbona umeitunga mpya? Kwenye forms of abuse elevation haipo.
Majibu yenu yapo kwenye biblia, someni yakobo alivyompata mkewe, Adam mwenyewe alichomolewa mbavu, someni kisa cha Esther na mfalme wake, wanawake wote wazuri waliotajwa kwenye biblia hawakuolewa na kajamba nani, bikira Maria nae alitamkiwa baraka kuliko wanawake wote duniani,
Ngoja nijikite kwenye utafutaji tu nitaoa nikiwa na 60+😁Majibu yenu yapo kwenye biblia, someni yakobo alivyompata mkewe, Adam mwenyewe alichomolewa mbavu, someni kisa cha Esther na mfalme wake, wanawake wote wazuri waliotajwa kwenye biblia hawakuolewa na kajamba nani, bikira Maria nae alitamkiwa baraka kuliko wanawake wote duniani,
Tafuteni kwa jasho nanyi hamtapungukiwa na kitu
Hiyo compensation ni reciprocal? yaani hela kwa hela, kikojolea kwa kikojolea au ndio ule ujanja janja wenu wa kutaka mwanaume aweke hela halafu nyie muweke maombi.Vyovyote lazima u-compasate muda wa mwanamke, na yeye afanye hivyo hivyo… it’s all about this!
Mi sizungumzii mengine, nazungumzia mahusiano na ndoa.
Ukijipata nitafuteNgoja nijikite kwenye utafutaji tu nitaoa nikiwa na 60+😁
Mkuu inabidi siku utupe simulizi ndoa ilikufanya nini. Vijana wa kataa ndoa tunahitaji hizi shuhuda kama case studies.Hapo kwenye ndoa ngoja nikae pembeni 😁
Hahahaha , ukitamka tu ndoa hasa ile ya kukabidhiwa ma vyeti inaniogopesha sio utani😅Mkuu inabidi siku utupe simulizi ndoa ilikufanya nini. Vijana wa kataa ndoa tunahitaji hizi shuhuda kama case studies.
Utanisubiria sasa?😅😅 kwanini tusitafute wote mguu kwa mguu wote shambani😅 jua letu mvua yetu ili tukija kula tulie wote kivulini?Ukijipata nitafute
Bwashee mbona una wahi hivyo, mi nasubiri ww3Ngoja nijikite kwenye utafutaji tu nitaoa nikiwa na 60+😁
Nawahi kidogo ili niwe na nguvu za kuichapa kidogo halafu nitekese na ndoa kidogo halafu nife bwashee 🤣Bwashee mbona una wahi hivyo, mi nasubiri ww3