hawa tembo wanauwawa na maskari wa maliasiri. Hawa ndo wacheza dili wakuu wa hii biashara, na magari ya mali asili ndo huwa yanatumika kusafirishia hayo meno ili wahusika wasisumbuliwe kwenye vizuizi vya barabarani.
- mchawi ni wafanya kazi wa mali asli hasa hasa maskari na mabosi wengine, hapo hakuna cha majangiri wala nini