Electronics & Telecom Engineers

Electronics & Telecom Engineers

Mr.panya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
248
Reaction score
279
Hivi hawa jamaa huwa wanafanya kazi sehemu gani na mishahara yao kwa kawaida huwa ipoje kwa wenye diploma na degree na pia hawa engineers/technicians wanaweza kujiajiri wenyewe?
 
wapo katika kampuni za simu,pia wanapatikana katika kampuni za minara,(kampuni zenye kandarasi za kazi za umeme,pamoja na mawasiriano angani)

wapo walikojiajiri,mi nawafahamu wawili ambao walinitanguria enzi hizo DIT,Sasa hivi wanaofisi yao hapa Dodoma,wanatengeneza mashine mbarimbari zikiwemo za kutotorea vifaranga.
Wapo vizuri tu kwa upande wa CASH
 
Mr.panya vipi unataka kuja wa wahandisi wa mawasiliano pepe na mifumo laini umeme wa kulamba???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom